MSOSI HOTEL


Nyumbani Bei zetu Location Kuhusu

KARIBU SANA

Karibu MSOSI HOTEL. Tunatoa huduma ya chakula aina zote kwa ubora wa hali ya juu. Bei zetu ni nafuu sana, chakula kinapatikana kuanzia Tsh1000/= tu. Agiza saa tukuletee ulipo kwa bei nafuu, au fika MSOSI HOTEL tunapatikana NaneNane MOROGORO.


Breakfast/Kifungua kinywa


Karibu MSOSI HOTEL umwagilie moyo wako kwa kifungua kinwa(Power Breakfast). Vyakula vinavyopatikana ni pamoja na chai, maziwa, supu, chapati, vitumbua, sambusa n.k. Agiza sasa au fika MSOSI HOTEL. Asante


chapati_chai Chai chapati [1000TZS]

Maziwa Chai ya maziwa [500TZS]

mkate Chai mkate [1500TZS]

vitumbua Chai vitumbua [1000TZS]

sambusa Chai sambusa [1000TZS]

chapati_maharage Chapati maharage [1500TZS]

Mlo wa Mchana/Jioni


Habari! Pata chakula chako cha mchana au jioni kutoka MSOSI HOTEL. Agiza sasa tukuletee ulipo au fika hotelini vyakula vinavyopatikana ni pamoja na:

Bei ni nafuu sana, kuanzia Tsh1000/= tu unapata chakula. Karibu sana!


Ugali_dagaa Ugali dagaa [1000TZS]

Ugali_nyama Ugali Nyama [1500TZS]

Ugali_Samaki Ugali Samaki [2000TZS]

Ugali_kuku Ugali kuku [2000TZS]

Wali_maharage Wali maharage [1000TZS]

wali_nyama Wali nyama [1500TZS]

Vinywaji/Drinks


Karibu MSOSI HOTEL upate kinywaji upendavyo kwa bei nafuu kabisa. Ukiagiza Vinywaji vya samani ya Tsh5000/= tunakuletea mpaka mlangoni. Vinywaji vinavyopatikana ni pamoja na Cocacola, Pepsi, Mirinda, Savannah, Fanta, Serengeti lite, n.k

cocacola Cocacola [500TZS]

mirinda Mirinda [500TZS]

Fanta Fanta [500TZS]

pepsi Pepsi [1000TZS]

kingfisher Kingfisher [3500TZS]

Heineken Heineken [2500TZS]